Klabu ya Singida Black Stars imeanza harakati za kuimarisha safu yake ya ushambuliaji kuelekea msimu ujao baada ya kuripotiwa kutuma ofa rasmi kwa klabu ya AS Dauphin Noir ya DR Congo kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji chipukizi, Candidat Mapendo.
Mapendo mwenye umri wa miaka 19, kwa sasa ndiye kinara wa mabao katika Ligi Kuu ya DR Congo (Linafoot), akiwa tayari amefunga mabao 22 msimu..... download Xtra 90 App



