Nyota wa Real Madrid CF Kylian Mbappé, ameripotiwa kuwa tayari kurejea uwanjani kuelekea mchezo mkubwa wa El Clásico dhidi ya FC Barcelonautakaopigwa Jumapili, May 10 baada ya kufaulu vipimo vya afya vilivyofanywa na madaktari wa klabu hiyo.
Kwa mujibu wa ripoti kutoka COPE na vyombo vingine vya michezo vya Hispania, Mbappé ameonyesha maendeleo makubwa katika kupona majeraha ya misuli..... download Xtra 90 App



