Klabu ya Crystal Palace imeandika historia mpya baada ya kufuzu fainali ya UEFA Europa Conference League kwa mara ya kwanza kabisa, kufuatia ushindi wa jumla wa mabao 5-2 dhidi ya Shakhtar Donetsk katika hatua ya nusu fainali. Ushindi huo umeifanya Palace kushuhudia mchezo mkubwa zaidi katika historia ya klabu hiyo, huku mashabiki wao wakishuhudia ndoto ya Ulaya ikitimia mbele ya macho..... download Xtra 90 App



