Azam Fc imepoteza mechi ya kwanza msimu huu baada ya kukubali kipigo cha mabao 4-1 dhidi ya TRA United katika mchezo uliopigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha.
Zilikuwa dakika 90 ngumu kwa Azam Fc mbele ya vijan wa kocha Etienne Ndayiragieje ambao ushindi wa leo umewasogeza hadi nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi.
Azam Fc walikuwa wa kwanza kufunga bao la kuongoza dakika..... download Xtra 90 App



