Klabu ya USM Alger imepata ushindi muhimu wa mabao 1-0 dhidi ya Zamalek SC katika mchezo wa kwanza wa fainali ya CAF Confederation Cup uliochezwa Jumamosi usiku, Mei 09, 2026, kwenye dimba la Stade du 5 Juillet.
Mchezo huo ulikuwa na ushindani mkubwa kutoka kwa timu zote mbili, huku mashabiki waliokuwa wamejaa uwanjani wakishuhudia pambano kali la kimbinu kati ya vigogo hao wa Afrika..... download Xtra 90 App



