Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Clatous Chama maarufu kama ‘Mwamba wa Lusaka’, ameendelea kudhihirisha kiwango chake bora ndani ya kikosi hicho baada ya kutwaa tuzo ya nyota wa mchezo katika mechi tatu mfululizo.
Nyota huyo raia wa Zambia ameonyesha kuwa ni mhimili mkubwa wa mafanikio ya Simba katika michezo ya hivi karibuni, akihusika moja kwa moja kwenye mabao muhimu..... download Xtra 90 App



