Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo mzunguuko wa 23 ambapo mechi mbili zinatarajiwa kupigwa.
Mchezo wa mapema saa nane mchana, Mbeya City wataikaribisha Coastal Union katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Sokoine.
Ni wazi Mbeya City wanahitaji ushindi ili kujiweka katika nafasi nzuri kujiondoa kwenye hatari ya kushuka daraja.
Mchezo unosubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi wa soka ni..... download Xtra 90 App



