Klabu ya Mamelodi Sundowns imejikuta kwenye wakati mgumu katika mbio za ubingwa wa Betway Premiership (PSL) baada ya kupokea kichapo cha mabao 3-2 kutoka kwa TS Galaxy katika mchezo uliopigwa Mbombela Stadium usiku wa Jumanne.
Matokeo hayo yameufanya mbio za ubingwa kuwa ngumu zaidi kwa Sundowns huku wapinzani wao wakubwa, Orlando Pirates, wakipata nafasi kubwa ya kutwaa taji hilo kwa..... download Xtra 90 App



