Mikiki mikiki ya ligi kuu ya NBC inaendelea leo kuhitimisha raundi ya 23 ambapo mechi nne zinatarajiwa kupigwa katika viwanja mbalimbali.
Mechi mbili zinatarajiwa kupigwa mapema saa 8 Mtibwa Sugar ikiikaribisha KMC kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani Morogogo huku Tanzania Prisons wakiumana na Fountain Gate dimba la Sokoine mkoani Mbeya.
Mchezo unaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka..... download Xtra 90 App



