Mourinho akubaliana na masharti yote Real Madrid

Joel JJ By Joel JJ • 16th May 2026

Mourinho akubaliana na masharti yote Real Madrid

Kocha Jose Mourinho anatajwa kuwa hatua za mwisho za kurejea kuinoa Real Madrid ambapo kulingana na Mwanahabari maarufu Fabrizio Romano, tayari amekubaliana na masharti yote ya mkataba wake mpya.

Fabrizio amebainisha kuwa mazungumzo kati ya Mourinho na rais wa Madrid, Florentino Pérez, yamekamilika kwa kiwango kikubwa huku kilichobaki kikiwa ni taratibu za mwisho kabla ya tangazo..... download Xtra 90 App

More Stories

Hizi 6 za Yanga na Simba ni vipi?
Hizi 6 za Yanga na Simba ni vipi?
Today, READ MORE →
Nahodha SC Villa auawa na majambazi Uganda
Nahodha SC Villa auawa na majambazi Uganda
Today, READ MORE →
Azam FC yazindua jezi ya nyumbani ya msimu wa 2026/27
Azam FC yazindua jezi ya nyumbani ya msimu wa 2026/27
Today, READ MORE →
Infantino aitisha mkutano wa dharura FIFA kufuatia matamshi ya Wenger
Infantino aitisha mkutano wa dharura FIFA kufuatia matamshi ya Wenger
Today, READ MORE →
BREAKING: Guimaraes atua Arsenal rasmi.
BREAKING: Guimaraes atua Arsenal rasmi.
Today, READ MORE →
Twiga Stars waaga WAFCONkwa kuvunja rekodi ya kihistoria
Twiga Stars waaga WAFCONkwa kuvunja rekodi ya kihistoria
Today, READ MORE →
Salah mbioni kutua Trabzonspor
Salah mbioni kutua Trabzonspor
Today, READ MORE →
Singida BS yasuka upya benchi la ufundi
Singida BS yasuka upya benchi la ufundi
Today, READ MORE →
Barcelona yaandaa jaribio la mwisho kumsajili Julian Álvarez
Barcelona yaandaa jaribio la mwisho kumsajili Julian Álvarez
Today, READ MORE →
Depú huenda akaondoka Yanga, Petro de Luanda yagoma dau
Depú huenda akaondoka Yanga, Petro de Luanda yagoma dau
Yesterday, READ MORE →