Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, amesema anaamini kikosi chake kitakabiliana na mchezo mgumu dhidi ya TRA United katika hatua ya robo fainali ya Kombe la CRDB, huku akisisitiza kuwa maandalizi ya timu yake yamekamilika kwa kiwango kikubwa.
Simba SC itashuka dimbani kesho Jumapili, Mei 17, katika uwanja wa KMC Complex, kusaka tiketi ya kusonga mbele hatua ya nusu fainali ya mashindano..... download Xtra 90 App



