Klabu ya Algeria, USM Alger imetwaa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) kwa kuifunga Zamalek SC kupitia mikwaju ya penalti katika mchezo wa fainali uliochezwa jijini Cairo Jumamosi usiku.
Katika mchezo wa marudiano wa fainali, Zamalek ilianza kwa kasi na kupata bao la mapema dakika ya tano kupitia penalti iliyofungwa na Oday Dabbagh. Bao hilo lilifanya matokeo ya jumla kuwa..... download Xtra 90 App



