Nyota wa FC Bayern Munich na timu ya taifa ya France, Michael Olise, ametangazwa rasmi kuwa Mchezaji Bora wa Bundesliga msimu wa 2025/26 akiwa na umri wa miaka 24.
Olise alikuwa mmoja wa wachezaji muhimu zaidi katika safari ya Bayern Munich kutwaa ubingwa wa Bundesliga msimu huu. Winga huyo wa kushoto alimaliza ligi akiwa na mabao 15 na assists 19 ndani ya mechi 32 takwimu zilizomfanya..... download Xtra 90 App



