Katika soka la ushindani mkubwa nchini, hisia za mashabiki mara nyingi hupanda na kushuka kulingana na matokeo ya uwanjani. Hata hivyo, hali inapoelekea kuwageukia wachezaji binafsi na kuwalenga kwa maneno makali, ndipo inakuwa muhimu kusimama na kuhoji kama tunakwenda njia sahihi kama wadau wa mchezo.
Wakati huu, baadhi ya mashabiki wa Yanga SC wameonyesha kukerwa na matukio..... download Xtra 90 App



