Klabu ya FC Barcelona imeandika historia katika Ligi Kuu ya Hispania (La Liga) msimu huu 2025/26 baada ya kumaliza msimu wa mechi za nyumbani bila kupoteza, hatua iliyoweka rekodi mpya ya kutokufungwa katika dimba lao la nyumbani.
Msimu huu, Barcelona chini ya kocha Hansi Flick wamefanikiwa kushinda mechi zote 19 za nyumbani bila kupoteza, hali iliyowafanya kuwa timu yenye uimara mkubwa..... download Xtra 90 App



