Ligi Kuu ya NBC inazidi kuchanja mbuga ikiingia mzunguuko wa 24 ambapo mechi nane zinatarajiwa kupigwa katika viwanja tofauti.
Katika hatua hii vita kubwa iko juu ya msimamo klabu za Yanga, Simba na Azam Fc zikichuana kwenye mbio za ubingwa.
Lakini pia chini ya msimamo kuna vita ya aina yake, KMC, Tanzania Prisons, Mbeya City, Fountain Gate, Coastal Union na nyingine zikichuana..... download Xtra 90 App



