Timu ya taifa ya Tanzania imepangwa katika Kundi L kwenye hatua ya makundi ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, kufuatia droo iliyofanyika leo jijini Cairo, Misri chini ya usimamizi wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF).
Tanzania ni miongoni mwa mataifa wenyeji wa mashindano ya AFCON 2027, sambamba na Kenya na Uganda, hivyo tayari ina tiketi ya kushiriki fainali hizo. Hata..... download Xtra 90 App



