Hatma ya ubingwa wa Ligi Kuu ya Misri itafahamika leo usiku baada ya mzunguko wa mwisho wa msimu kupigwa kwa wakati mmoja katika viwanja vitatu tofauti, huku ushindani ukiwa mkali kati ya timu tatu zinazoongoza msimamo.
Mechi zote zimepangwa kuanza saa 2:00 usiku kwa saa za Cairo, katika mazingira yanayotarajiwa kuwa ya ushindani mkali na presha kubwa kwa timu zote zinazowania..... download Xtra 90 App



