Kocha wa FC Barcelona, Hansi Flick, ameripotiwa kutoa “green light” kwa uongozi wa klabu hiyo kuanza mchakato wa kumsajili kwa kudumu mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford, kufuatia ripoti za wataalamu wa masuala ya usajili barani Ulaya.
Kwa mujibu wa mwandishi wa masuala ya uhamisho Matteo Moretto, Flick anaamini Rashford anaweza kuwa sehemu muhimu ya mipango..... download Xtra 90 App



