Kiungo mshambuliaji Clatous Chama anatarajiwa kuendelea kuitumikia Simba SC baada ya kuingia kwenye hatua za mwisho za mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya ndani ya kikosi hicho cha Wekundu wa Msimbazi, imefahamika.
Chama, ambaye alirejea Simba akitokea Singida Big Stars SC, alisaini awali mkataba wa mwaka mmoja, lakini sasa taarifa zinaeleza kuwa mazungumzo ya kuongeza kandarasi ya ziada..... download Xtra 90 App



