Kocha wa England, Thomas Tuchel, ametangaza rasmi kikosi cha wachezaji 26 kitakachoiwakilisha England kwenye Kombe la Dunia 2026 litakalofanyika Marekani, Canada na Mexico.
Habari kubwa kwenye kikosi hicho ni kuachwa nje kwa beki Harry Maguire, ambaye alikuwa sehemu muhimu ya England katika mashindano makubwa ya nyuma. Maguire amesema amesikitishwa sana na uamuzi huo wa kuachwa nje ya..... download Xtra 90 App



