Hatimaye ile subira ya miaka saba imepata majibu! Klabu ya Al Nassr imetawazwa rasmi kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu ya Saudia (Roshn Saudi League) kwa msimu wa 2025/2026 baada ya mapambano makali yaliyodumu mpaka dakika ya mwisho ya msimu.
Kwenye mchezo wa fainali uliopigwa usiku wa kuamkia leo katika dimba la Al Awwal Park mbele ya mashabiki zaidi ya 26,000, Al Nassr walishuka uwanjani..... download Xtra 90 App



