Klabu ya Simba SC imeendelea kujipanga kwa ajili ya msimu ujao kwa kufanya usajili wa wachezaji wa ndani, ambapo tayari imekamilisha mpango wa kumsajili beki wa kulia Nathaniel Chilambo kutoka Azam FC.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya klabu, Chilambo ambaye mkataba wake na Azam FC unatarajiwa kumalizika mwezi ujao, tayari amesaini “pre-contract” ya kuitumikia Simba. Inadaiwa kuwa..... download Xtra 90 App



