Azam Fc imeendeleza ubabe dimba la Azam Complex ikiibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi kuu ya NBC kukamilisha raundi ya 24.
Alikuwa ni Feisal Salum 'Fei Toto' na Iddi Nado waliofunga mabao ya Azam Fc na kuhakikisha alama tatu zinasalia Msimbazi.
Fei Toto ameendelea kujiimarisha kwenye mbio za ufungaji bora akifikisha mabao 12 huku Nado nae..... download Xtra 90 App



