Hull City wamefanikiwa kurejea katika Ligi Kuu ya England (Premier League) baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Middlesbrough katika fainali ya Playoff ya Championship iliyochezwa uwanjani Wembley.
Shujaa wa mchezo huo alikuwa Oli McBurnie, ambaye alifunga bao la ushindi katika dakika ya 90+4, likiipa Hull City tiketi ya kupanda daraja baada ya mchezo mkali uliodumu kwa dakika 90 bila..... download Xtra 90 App



