Golikipa wa Singida Black Stars, Metacha Mnata ameomba radhi kufuatia tukio la kugomea kufanyiwa mabadiliko katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Young Africans SC uliochezwa uwanja wa KMC Complex juzi Singida BS wakikubali kipigo cha mabao 3-0.
Mnata alionekana kutokuwa tayari kutoka uwanjani muda mfupi baada ya kuruhusu bao kupitia mpira wa adhabu, kabla ya baadaye kukubali..... download Xtra 90 App



