FC Barcelona wanaendelea kuonyesha kwamba msimu huu wa usajili hawako tayari kufanya mzaha. Klabu hiyo ya Catalonia sasa iko hatua kubwa karibu kumsajili nyota wa Newcastle United, Anthony Gordon, katika dili linalokadiriwa kufikia zaidi ya €70 milioni.
Kwa mujibu wa taarifa, Barcelona na Newcastle wamefikia makubaliano ya awali kuhusu ada ya uhamisho, huku mchezaji huyo akishafikia pia..... download Xtra 90 App



