Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, ameonyesha kuridhishwa na mapumziko ya kalenda ya FIFA, akisema yatakuwa msaada mkubwa kwa kikosi chake baada ya ratiba ngumu ya mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara zilizochezwa mfululizo kwa muda mfupi.
Barker ameeleza kuwa msongamano wa mechi ulioikumba Simba SC katika wiki za hivi karibuni umeleta changamoto kubwa kwa wachezaji, hasa kutokana na uchovu..... download Xtra 90 App



