Vikosi vya vigogo wa soka Tanzania, Yanga SC na Simba SC, vinatarajiwa kurejea mazoezini Jumatatu Juni 1 baada ya mapumziko mafupi yaliotolewa kwa wachezaji kuelekea mwendelezo wa mechi za mwisho wa msimu wa Ligi Kuu na Kombe la CRDB.
Uongozi wa klabu ya Yanga SC uliwapa wachezaji mapumziko ya siku sita kufuatia ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Namungo FC, matokeo yaliyowapa morali kubwa..... download Xtra 90 App



