Klabu ya Paris Saint-Germain imeendelea kuandika historia mpya barani Ulaya baada ya kutwaa taji la pili mfululizo la UEFA Champions League, kufuatia ushindi wa penalti 4-3 dhidi ya Arsenal FC katika fainali kali iliyochezwa Mei 30, 2026 jijini Budapest.
Mchezo huo uliisha kwa sare ya 1-1 ndani ya dakika 120, kabla ya PSG kuibuka na ubingwa kupitia mikwaju ya penalti, ushindi ambao..... download Xtra 90 App



