Mashabiki wa Arsenal walijitokeza kwa maelfu katika mitaa ya Kaskazini mwa London kusherehekea ubingwa wa Premier League, saa chache baada ya timu yao kupoteza fainali ya UEFA Champions League dhidi ya Paris Saint-Germain kwa mikwaju ya penalti.
The Gunners walimaliza ukame wa miaka 22 bila kutwaa taji la ligi kuu ya England, mafanikio ambayo yalitosha kuifanya klabu hiyo kuandaa gwaride..... download Xtra 90 App



