Klabu ya Yanga SC imepokea boost kubwa kuelekea mechi za mwisho wa msimu baada ya wachezaji wake muhimu, Pacome Zouzoua na Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’, kurejea kikosini na kuanza mazoezi kikamilifu.
Kiungo mshambuliaji raia wa Ivory Coast, Pacôme Zouzoua, alikuwa miongoni mwa wachezaji waliorejea mazoezini jana katika kituo cha KMC Complex, akianza tena maandalizi ya mechi zilizobaki..... download Xtra 90 App



