Ripoti mpya kutoka vyanzo vya soka barani Ulaya zinaeleza kuwa kocha mtarajiwa wa Real Madrid José Mourinho amepitisha usajili wa beki wa Liverpool Ibrahima Konaté pamoja na beki wa pembeni wa Inter Milan Denzel Dumfries kujiunga na miamba hiyo ya Hispania baada ya mchakato wa uchaguzi wa uongozi ndani ya klabu kukamilika.
Inaelezwa kuwa tayari kuna mazungumzo ya awali yaliyofanyika na..... download Xtra 90 App



