Klabu ya Azam FC inatajwa kuwa kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Uganda, Ivan Ahimbisibwe, kutoka klabu ya KCCA FC katika harakati za kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao.
Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali vya usajili zinaeleza kuwa Azam FC tayari imefikia makubaliano binafsi na mshambuliaji huyo, huku hatua zilizobaki zikihusisha kukamilisha taratibu..... download Xtra 90 App



