Kikosi cha timu ya Taifa ya Ivory Coast, ndicho chenye wastani mdogo zaidi wa umri (miaka 25.35) kati ya timu zote zitakazoshiriki Kombe la Dunia 2026.
Ivory Coast imejenga msingi imara wa muda mrefu kwa kutumia vipaji chipukizi vinavyocheza katika ligi kubwa za Ulaya na maeneo mengine ya ushindani mkubwa.
Kikosi hicho sasa kinatajwa kuwa miongoni mwa timu hatari zaidi kwa siku..... download Xtra 90 App



