Timu ya taifa ya Ubelgiji imeendelea kuonyesha ubora wake wa kiwango cha juu baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya Tunisia katika mechi ya kirafiki ya kimataifa ikiwa sehemu ya maandalizi ya Kombe la Dunia 2026.
Ubelgiji ilianza mchezo kwa kasi na kutawala zaidi kipindi chote cha kwanza, ikitengeneza nafasi nyingi za kufunga kabla ya kufanikiwa kupata bao la uongozi..... download Xtra 90 App



