Klabu ya Simba SC inaendelea kupanga upya kikosi chake kuelekea msimu wa 2026/27, ikiwa imeweka mkakati wa kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni huku ikilenga kuongeza ubora katika maeneo muhimu ya uwanja.
Kwa mujibu wa taarifa za ndani ya klabu, Simba SC imefikia hatua za mwisho za maandalizi ya kikosi cha msimu ujao, ambapo zaidi ya asilimia kubwa ya wachezaji wa ndani tayari..... download Xtra 90 App



