Mlinda lango Yonah Amos anatarajiwa kujiunga na Singida Black Stars akitokea Pamba Jiji baada ya kukamilisha makubaliano ya kimkataba na walima alizeti hao.
Taarifa zilizopatikana zinaeleza kuwa pande zote mbili zimekamilisha taratibu za mwisho za usajili, huku nyaraka za mkataba zikiwa zimeshasainiwa rasmi, hatua inayomfanya kipa huyo kuwa mchezaji mpya wa Singida Black Stars kuanzia..... download Xtra 90 App



