Klabu ya Simba SC inaendelea na harakati za kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu wa 2026/27, huku ikitajwa kutofunga kabisa faili la kipa wa kimataifa wa Nigeria, Stanley Nwabali.
Taarifa za ndani zinaeleza kuwa benchi la ufundi linaloongozwa na kocha Steve Barker bado linaamini Nwabali ni mmoja wa makipa wanaoweza kuongeza ushindani na ubora katika safu ya walinda mlango wa Wekundu wa..... download Xtra 90 App



