Kipigo cha bao 1-0 walichokumbana nacho KMC jana kimehitimisha ushiriki wao wa ligi kuu msimu ujao 2026/27.
KMC sasa wanayo tiketi ya kushiriki ligi ya championship msimu ujao huku wakiwa na mechi nne mkononi.
Wamecheza mechi 26 wakikusanya alama 9 tu huku zikisalia mechi nne. Hata kama watashinda mechi hizo watafikisha alama 21 ambazo tayari Mbeya City inayoshika nafasi ya 14..... download Xtra 90 App



