Yanga SC waliendelea kuthibitisha ubora wao kwenye ligi kuu baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mashujaa FC katika mchezo uliopigwa mkoani Kigoma, matokeo ambayo yamewapa nafasi nzuri zaidi kileleni mwa msimamo wa NBC Premier League.
Bao la kwanza la Yanga SC lilipatikana dakika ya 28 kupitia kiungo Mudathir Yahya, aliyefunga kwa shuti kali nje ya eneo la hatari baada ya kupokea..... download Xtra 90 App



