Coastal Union (Wagosi wa Kaya) wameondoka na pointi tatu muhimu baada ya kuifunga KMC FC mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye dimba la KMC Complex.
Mchezo huo ambao KMC walikuwa wakitimiza ratiba baada ya kuthibitika kushuka daraja, ulitawaliwa zaidi na Coastal Union waliokuwa na ari na umakini wa kupata matokeo muhimu katika vita ya kujinusuru na presha ya..... download Xtra 90 App



