Miaka 24 imepita tangu Senegal iandike moja ya kurasa kubwa zaidi katika historia ya soka la Afrika kwa kuifunga Ufaransa mabao 1-0 kwenye mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Dunia 2002 nchini Korea Kusini na Japan. Leo, mataifa hayo mawili yanakutana tena katika Kombe la Dunia 2026, huku swali kubwa likiwa: Je, Senegal wanaweza kurudia maajabu hayo?
Mwaka 2002, Senegal walikuwa washiriki..... download Xtra 90 App



