Ligi Kuu raundi ya 27; Simba dimbani Mbeya, mechi mbili kupigwa leo

Joel JJ By Joel JJ β€’ 17th June 2026

Ligi Kuu raundi ya 27; Simba dimbani Mbeya, mechi mbili kupigwa leo

Ligi Kuu ya NBC inaelekea ukiongoni leo mechi mbili mzunguuko wa 27 zikitarajiwa kupigwa.

Wekundu wa Msimbazi, Simba Sc wako mkoani Mbeya ambapo leo watakuwa uwanjani mechi ya mapema saa 8.

Watakuwa wageni wa Mbeya City katika mechi inayotarajiwa kuwa na upinzani mkali.

Kama Simba itashinda mchezo huo basi itapanda kileleni mwa msimamo wa ligi kuwaombea 'njaa' watani zao Yanga..... download Xtra 90 App

More Stories

Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Simba yatambulisha jezi mpya 2026/27
Today, READ MORE β†’
Simba yaichapa Singida lakini timu zote zaaga mashindano
Simba yaichapa Singida lakini timu zote zaaga mashindano
Today, READ MORE β†’
Polisi Tanzania yanasa wino wa Beno Kakolanya msimu ujao
Polisi Tanzania yanasa wino wa Beno Kakolanya msimu ujao
Today, READ MORE β†’
TFF yatoa onyo kwa klabu zisizofanya usajili FIFA Connect
TFF yatoa onyo kwa klabu zisizofanya usajili FIFA Connect
Today, READ MORE β†’
Yanga Yaifunga Magereza Dar Es Salaam 7-2 Mechi ya Kirafiki
Yanga Yaifunga Magereza Dar Es Salaam 7-2 Mechi ya Kirafiki
Yesterday, READ MORE β†’
Fei Toto ajumuishwa kikosi cha Azam Fc pre-season Rwanda
Fei Toto ajumuishwa kikosi cha Azam Fc pre-season Rwanda
Yesterday, READ MORE β†’
Ngao ya Jamii 2026 Kupigwa Amaan Complex Zanzibar
Ngao ya Jamii 2026 Kupigwa Amaan Complex Zanzibar
Yesterday, READ MORE β†’
Barcelona wafunguliwa mashtaka ya kinidhamu na Atletico Madrid kumhusu Julian Alvarez.
Barcelona wafunguliwa mashtaka ya kinidhamu na Atletico Madrid kumhusu Julian Alvarez.
Yesterday, READ MORE β†’
Dodoma wakamilisha usajili wa Tepsi Evance.
Dodoma wakamilisha usajili wa Tepsi Evance.
Yesterday, READ MORE β†’
Ndoa ya Simba na Mwalimu mbioni kutamatika, Nyota huyo kurejea Morocco
Ndoa ya Simba na Mwalimu mbioni kutamatika, Nyota huyo kurejea Morocco
Yesterday, READ MORE β†’