Simba SC imepanda kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya NBC baada ya ushindi muhimu wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa Sokoine, Mbeya. Shujaa wa siku alikuwa Elie Mpanzu aliyefunga bao pekee lililoipa Simba alama tatu muhimu.
Licha ya kucheza kwenye jua kali la Mbeya, Simba SC ilionyesha ubora wake kwa kutawala mchezo kwa muda mwingi. Vijana wa kocha..... download Xtra 90 App



