Mshambuliaji wa Singida Black Stars, Ndumumwe Mosi, ameandika historia ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga hat-trick katika msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) baada ya kuiongoza timu yake kuibugiza Dodoma Jiji mabao 5-0.
Katika mchezo huo uliochezwa leo Jumatano Juni 17, 2026 kwenye Uwanja wa Airtel mkoani Singida, Mosi alikuwa mwiba mkali kwa safu ya ulinzi ya Dodoma..... download Xtra 90 App



