Timu ya taifa ya Morocco imejiweka katika nafasi nzuri ya kufuzu hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya Scotland katika mchezo wa Kundi C uliochezwa mjini Boston, Marekani.
Ushindi huo umeifanya Morocco kusogea nafasi ya pili kundi hilo nyuma ya vinara Brazil na kuongeza matumaini ya kufanya vizuri kama ilivyofanya katika Kombe la..... download Xtra 90 App



