Ndoto za Tunisia katika Kombe la Dunia 2026 zimefikia tamati kwa njia ya kusikitisha baada ya kupokea kichapo cha mabao 4-0 kutoka kwa Japan katika mchezo wa Kundi F uliochezwa leo Jumapili Juni 21.
Matokeo hayo yameiacha Tunisia mkiani mwa kundi hilo huku ikipoteza mechi yake ya pili mfululizo, baada ya awali kufungwa mabao 5-1 na Sweden. Kipigo cha Japan kimeifanya timu hiyo kuruhusu..... download Xtra 90 App



