Azam FC imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Yanga SC katika mchezo wa nusu fainali uliochezwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza na kudumu kwa dakika 120.
Mchezo huo ulikuwa wa kusisimua kutoka mwanzo hadi mwisho huku ukishuhudia mabingwa watetezi Yanga wakiondolewa kwenye michuano hiyo baada ya kutawala kwa..... download Xtra 90 App



