Argentina na Austria kukutana kwa mara ya kwanza kihistoria kwenye mechi ya kimashindano

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media • 22nd June 2026

Argentina na Austria kukutana kwa mara ya kwanza kihistoria kwenye mechi ya kimashindano

Macho ya mashabiki wa soka duniani yatakuwa kwenye mchezo wa Kundi A wa Kombe la Dunia 2026 utakaowakutanisha Argentina na Austria katika pambano lenye mvuto mkubwa. Mbali na ubora wa wachezaji waliopo pande zote mbili, mchezo huu unaingia kwenye historia kama mkutano wa kwanza rasmi kati ya mataifa haya mawili, zaidi ya miongo mitatu tangu yalipokutana mara ya mwisho katika mchezo wa kirafiki..... download Xtra 90 App

More Stories

Yanga wakutana na Gaborone United, Simba wakabidhiwa Mighty Wanderers CAF Champions League

Today, READ MORE →
Singida Black Stars wapangwa kuanza dhidi ya Al Ghazala SC CAF Confederation Cup

Azam FC kuanzia hatua ya pili, kusubiri mshindi kati ya ZED FC na ASAS Djibouti Telecom

Victor Muñoz aripoti mazoezini Liverpool baada ya kutwaa Kombe la Dunia

Yanga yazindua jezi za msimu 2026/27
Yanga yazindua jezi za msimu 2026/27
Today, READ MORE →
Yanga Day kupambwa na mchezo wa kimataifa dhidi ya Aigles du Congo

Rwegasira: Mashabiki wa Simba ndio silaha ya kupambana na jezi feki

Jayrutty Investment yashukuru mashabiki wa Simba kwa mapokezi ya jezi mpya

Fifa waomba radhi baada ya mradi kushindwa, nyaraka zavuja kuhusu “FIFA SUPER LEAGUE”.

Yanga kuzindua Uzi mpya wa 2026-27 hii leo